babu M JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 5,222 Reaction score 3,173 Nov 8, 2010 #1 Aliyekuwa muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam Alec Chemponda naye amechukuwa fomu ya kuwania uspika.
Aliyekuwa muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam Alec Chemponda naye amechukuwa fomu ya kuwania uspika.
M mamake New Member Joined Nov 1, 2010 Posts 3 Reaction score 0 Nov 8, 2010 #2 he is a very brave man he will do better than many
M Mtu Mmoja JF-Expert Member Joined Mar 18, 2010 Posts 593 Reaction score 64 Nov 8, 2010 #3 nasikia kishafulia, anataka kufia kwenye uspika?
J Jibaba Bonge JF-Expert Member Joined May 6, 2008 Posts 1,246 Reaction score 402 Nov 8, 2010 #4 Uprof aliupata lini?
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Nov 8, 2010 #5 babu M said: Aliyekuwa muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam Alec Chemponda naye amechukuwa fomu ya kuwania uspika. Click to expand... Kupitia Chama gani?
babu M said: Aliyekuwa muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam Alec Chemponda naye amechukuwa fomu ya kuwania uspika. Click to expand... Kupitia Chama gani?
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Nov 8, 2010 #6 Superman said: Kupitia Chama gani? Click to expand... Kiti cha spika kinaweza kukaliwa na mtu yeyote hata kama chama chake hakina wabunge; mradi tu awe na sifa za kugombea ubunge.
Superman said: Kupitia Chama gani? Click to expand... Kiti cha spika kinaweza kukaliwa na mtu yeyote hata kama chama chake hakina wabunge; mradi tu awe na sifa za kugombea ubunge.
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,658 Reaction score 6,700 Nov 8, 2010 #7 nadhani aliwahi sema miaka ya tisini kuwa ametokewa na YESU(labda niwe nimechukua file lingine)
K Kiti JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 359 Reaction score 234 Nov 8, 2010 #8 Wadau naomba mnihabarishe. Hivi kugombea uspiks lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa au unaweza kuingia kama independent candidate? Au lazima iwe kama ubunge na urais yaani lazima uwe kwenye chama fulani?
Wadau naomba mnihabarishe. Hivi kugombea uspiks lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa au unaweza kuingia kama independent candidate? Au lazima iwe kama ubunge na urais yaani lazima uwe kwenye chama fulani?
babu M JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 5,222 Reaction score 3,173 Nov 8, 2010 Thread starter #9 superman said: kupitia chama gani? Click to expand... ccm
PastorPetro Senior Member Joined Feb 25, 2008 Posts 189 Reaction score 36 Nov 10, 2010 #10 Itakuwa vizuri akipata. :yield: