TANZIA Prof. Eluether Mwageni wa Chuo Kikuu Ardhi afariki dunia

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Profesa wa chuo kikuu Ardhi, Eleuther Mwageni amefariki dunia hii leo

Pia Profesa Eleuther Mwageni mnamo June 8, aliteuliwa na Rais Samia kuwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo CBE

Bwana ametoa,bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.

 
tumepoteza maprofesa wengi sana kwenye corona, na phd holders. sijui vyuo vyetu vitafundishwa na nani sasa.
 

Apumzike kwa amani Prof huyu.

Hata kabla ya Corona watu walikuwa wanakufa. Wala hajakataa mtu.

Ila tuchukue tahadhari kwani hata Johnson Johnson toka kwa beberu kuanzia kesho rasmi.
 
DUH kwani hawa wazee ni UVIKO 19? mbona mambo yanatisha sana
 
Narudia tena; tangazo la wizara ya afya kuhusu kujikinga na UVIKO-19 kwa makusudi mazima halikueleza hatua za kuchukua mashuleni na vyuoni; liko silent kabisa kuhusu shule na vyuo!

Kwa misongamano iliyoko maeneo hayo; huko ni mazalia na usambazaji wa Corona. Watoto watabeba na kuwapelekea wazazi majumbani. Walimu na maprofesa ni makundi hatarashi haswa.
 
tumepoteza maprofesa wengi sana kwenye corona, na phd holders. sijui vyuo vyetu vitafundishwa na nani sasa.
So sad[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Suala la covid linaumiza akili sana
 


Taarifa ya kifo cha Prof Mwageni inasikitisha mno.

Sijui Kwa nini watu wema huondoka haraka.

Kichwa kingine kimeondoka.

Rest Easy Sir.
[emoji29][emoji29]
 
Family Yao wamejaaliwa akili sana hawa, ana kaka yake ambayo ni Padre Mwageni alikuaga awe askofu wa ifakara Kama si morogoro…

Rest easy comrade!
 
Family Yao wamejaaliwa akili sana hawa, ana kaka yake ambayo ni Padre Mwageni alikuaga awe askofu wa ifakara Kama si morogoro…

Rest easy comrade!

Such a kind person
Ukienda kuzungumza nae anakusikiliza na kukupa suluhu
MUNGU amlaze mahali Pema peponi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…