Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Kushoto Mohamed Omari Mkwawa, Juma Duni na Prof. Ibrahim Lipumba[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Prof. Ibrahim Lipumba na mlinzi wake
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Juu Prof. Lipumba na chini ni Juma Duni wakihojiwa na Mariam Shamte wa BBC Golden Rose Hotel Tanga wakati wa kampeni ya Uchaguzi Mkuu 1995
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Aliekaa katikati na gauni jekundu ni Mama Umi na pembeni yake ni binti yake Umi
Mwanzo kushoto ni Prof. Ibrahim Lipumba na anaemfuatia ni Pashua[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mgombea wa National Recontruction Alliance (NRA) Same 1995
Wanachama wa NRA siku ya kuhakiki chama Ukumbi wa Arnatouglo, Dar es Salaam
Prof. Lipumba na Juma Duni Golden Rose Hotel Tanga
Juma Duni akihutubia mkutano wa kampeni wa uchaguzi wa 1995
Mwandishi akiwa kwenye timu ya Prof. Lipumba Uchaguzi wa 1995 Korogwe
Kalenda ikionyesha siku ya uchaguzi Zanzibar 22 Oktoba 1995
Kushoto Mwandishi akiwa na wapiga kura wa Jaws Corner Zanzibar asubuhi siku ya uchaguzi
Zanzibar tarehe 22 Oktoba 1995
[/TR]
[/TABLE]