Prof Issa Shivji enzi zake,akisherehesha maandamano UDSM

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880
image.jpeg

Prof Shivji enzi zake UDSM..Akipinga ubeberu dhidi ya nchi za Afrika
 
Acha Uongo! Umri huo awe UDSM? Kazi ya kutengeneza uongo mbele ya watu makini inahitaji umakini kuliko kufanya operation ya Ubongo
 
Acha ubishi wa siasa za jukwaa la Siasa,hapa hakuna haja ya kubishana na kutupiana maneno ya kejeli.
Aliyenyoosha mkono juu ni Prof,enzi za harakati Udsm miaka ya 1960's...hii imetolewa kwenye "Archives" yake
 
Ni Uongo! Tumia akili ya kawaida usipoteze nguvu kubwa! Kwa age hiyo uliyoonesha ni below 15 years halafu utudanganye kuwa alikuwa Chuo kikuu?
 
Naona una Carbon 14 ya kupima age za watu...unashindwa kuona hayo mabango ya chama cha kina Mseveni,Garang na Shivj Udsm?
 
Umri unapimwa kwa carbon 14 ila rika linapimwa kwa macho.
Kwny hiyo picha rika la huyo kijana wa kihindi sio rika la kuwa chuo kikuu, rudini kiwandani

Museven na Garang wawe na Umri mkubwa wa kuongoza Harakati halafu Shivji awe kivulana hivyo? Kichwa chako kitakuwa na kazi mbadala sio kufikiri
 
JPM ajifunze kwamba haki ya kuandamana na kutoa maoni ilikuwa inalindwa na muasisi wa taifa letu (Nyerere) and is enshrined in our constitution ...
 
Umri unapimwa kwa carbon 14 ila rika linapimwa kwa macho.
Kwny hiyo picha rika la huyo kijana wa kihindi sio rika la kuwa chuo kikuu, rudini kiwandani

Museven na Garang wawe na Umri mkubwa wa kuongoza Harakati halafu Shivji awe kivulana hivyo? Kichwa chako kitakuwa na kazi mbadala sio kufikiri
List of child prodigies - Wikipedia, the free encyclopedia

Umri si hoja yawezekana alikuwa na umri mdogo alipokuwa Chuo kama hiyo list hapo
 
Acha ubishi wa siasa za jukwaa la Siasa,hapa hakuna haja ya kubishana na kutupiana maneno ya kejeli.
Aliyenyoosha mkono juu ni Prof,enzi za harakati Udsm miaka ya 1960's...hii imetolewa kwenye "Archives" yake
Kweli ubishi mwingine shule tosha, kuandamana kupinga ubeberu kulihitaji waliokuwa wanafunzi wa UDSM?Leo hata maandamano ya siasa chipukizi kibao ingawa hawapigi kura.Asante kiongozi.
 
Acha Uongo! Umri huo awe UDSM? Kazi ya kutengeneza uongo mbele ya watu makini inahitaji umakini kuliko kufanya operation ya Ubongo
Kuangalia tu picha ushajua na umri!?
Duh!! Wewe kiboko!!
 
Back
Top Bottom