Prof j,king of hip hop tz.unakumbuka baadhi ya mistari yake?

Prof j,king of hip hop tz.unakumbuka baadhi ya mistari yake?

state agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2019
Posts
1,764
Reaction score
2,510
Jamaaa anajua , nyimbo zake bado zinaujumbe mzito hadi leo sikushangaa kusikia jamaa kawa mbunge hasa album ya MACHOZI JASHO NA DAMU,

NIKUSAIDIEJE? nilipo kuwa natoka naye nyuma anatoka ,usiku ananitoroka tena kwa kuruka ukuta,

HAPO VIPI. Ulinikanyaga wakati nakwenda ila sasa narudi nikanyage bahati mbaya nikulipue maksudi

BONGO DAR ES SALAAM, sinza ya leo kila baada ya nyumba bar na hapo ndipo utakapo shangaa

PROMOTA. Promota majalala ana suti chini ana ndala muda kidogo tu promota anagongea sigara

NAN'GATUKA .Nan'gatuka nimesha ikosea jamii nikajiita mungu mtu nikajita nabii

Huyu mwamba alikuwa kichwa hasa naona siasa imemnyima muda wa kuweka mawe siku hizi ,wewe unakumbuka mistari gani
 
Back
Top Bottom