Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa Suruali zaidi ya Size 40 na Mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini

kiuno "cm 40"....labda "inch 40".....hebu pima duara lenye mzunguko wa cm 40 halafu linganisha na kiuno chako basi wote tutakuwa wagonjwa😂😂
🌲merry Christmas and happy New Year 2024
 
nimeangalia lips{mdomo}za profesa janabi,nimejiridhisha bila shaka kwamba anakunywa DOUBLE KICK!!! ata ngozi yake ya uso haina NURU kwa sababu ya DOUBLE KICK!!!!,,,,,,"mwangalie vizuri!!
 
nimeangalia lips{mdomo}za profesa janabi,nimejiridhisha bila shaka kwamba anakunywa DOUBLE KICK!!! ata ngozi yake ya uso haina NURU kwa sababu ya DOUBLE KICK!!!!,,,,,,"mwangalie vizuri!!
Acha uzushi, huna wazazi wewe?
 
Kidogo amenichanganya kwenye vipimo vya suruali!

Cm40 au inch40?

Ukisema cm40 unamaamisha ft1 inch 10, ambapo kiuhalisia nguo yenye upana huo wa kiuno inavaliwa na mtoto mchanga.
 
Sawa
 
Magonjwa yapo tu, unakuta daktari naye ndo wa kwanza kuwa na magonjwa.. Tumtegemee Mungu.. Miili hii ametoa Mungu kwamba wengine wawe wembamba na wengine wanene.. Mbona wafupi au warefu hawasemangwi.. Huu ni uumbaji tuache haya mambo
Urefu na ufupi sio ugonjwa.

Shida huko kwingine kwa size ya mwili. Waswahili walishasema hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…