Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema tafiti zinaonesha kuwa watu wanaochangia figo wanaishi maisha marefu ikilinganishwa na ambao hawachangii.
Itatakiwa aje na proof kuwa Kabla ya kuchangia mtu Alitakiwa aishi muda gani na baada ya kuchangia muda gani umeongezeka. Bila proof ni propaganda Kama za CCM na Chadema tu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema tafiti zinaonesha kuwa watu wanaochangia figo wanaishi maisha marefu ikilinganishwa na ambao hawachangii.
Hii ni mbinu tu ya kuisaidia wahitaji wa figo.kama anauhakika kuwa wanaotoa Figo wanaishi maisha marefu basi yeye na familia yake watoe Figo zao wawape wagonjwa