Kipindi cha miaka ya 90 alitokea msanii nguli wa hip hop nchini kutoka kundi la hard blasters alikua akifundisha na kuelimisha kwa wakati 1 kumbuka nyimbo kama,chemsha bongo,zali la mentali,ndiyo mzee,nikusaidieje,hapo vp,msinitenge na nyimbo nyingine kali, lakini cku za karibuni nashndwa kumuelewa huyu legendary, mfano angalia nyimbo za sasa, HAIPO IPO,afu na hi KAMILIGADO Cyo level zake so ni kwamba ameishiwa kisanii?
Nawasilisha wadau!
Nawasilisha wadau!