Elineema J Mosi
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 808
- 148
Ndugu wana jf,naomba kumpongeza sana Prof Jay kwa kujiunga na CHADEMA kwani ameonyesha njia kwa vijana wengi na pia naomba kutumia fursa hii kumkaribisha hapa kwenye jukwaa la maoni huru na aje tushauriane na kupeana majukumu zaidi. Karibu kamanda.