Elineema J Mosi
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 808
- 148
Prof jay karibu bado jembe lingine mpoto ndani ya cdm
Prof jay karibu bado jembe lingine mpoto ndani ya cdm
huyo mpoto abaki tu ccm na unafki wake hafai kuwa mwanamapinduzi.
kisa yupo upande wa ruge? Akili za mlo mmoja hizi.
Mbona wanaojiunga na ccm hamuwakaribishi? Acheni upendeleo lol