Wewe utakuwa ndio jay mwenyewe hongera kumbe ni member mwezetu na pia kujipa promo mwenyewe ila sasa hivi madogo wamekukaba game imekuwa tight kimtindo eeee
Namkubali J sana yaani.
wivu achane jamaa ni mmoja
WA wanamuziki bora nchini .
J nakuzimia@yahoo.com
Pande zote ntakwenda lakini bongo ndo home....
😀🙂
Ni kweli kabisa wengine watakuja na kuondoka ila nagalau nyimbo za huyo jamaa bado unaweza kuweka na kusikiliza
Si ni kweli nakubalika ndio mzee ati ndio mzee ...
Zali la mentari .na nyingine kibao
nina albamu yake ya machozi , jasho na damu.
tena kanda lolest
the best tanzanian hip hop album ever..........kwa muono wangu!hamna ngoma ya ku-forward mule,dadeki!
Jifunze.................Ona................Sema..................Elimika.....................Pitia...........Hamasika..................hii inamaanisha J.O.S.E.P.H
bonge la ngoma hili......!!
pia kuna nyingine kashirikishwa F.A..........inaitwa JUKUMU LETU.............kaka mkubwa anajua,wacha utani kabisa!
wewe kweli unajua ngoma kali japo hazikua maarufu.Hiyo J.O.S.E.P.H beat yake tu lazima ukae, na jukumu letu wameenda sawa sana na mwanafalsafa