Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Swali hili lina lengo la kujenga hoja fulani ambayo nataka izame kwa baadhi ya watu. Sina mashaka na uwezo au elimu ya Prof. Mikidadi kwani ni mwanazuoni aliyebobea katika fani zake na ni miongoni mwa wasomi wanaoheshimika nchini. Hata hivyo ili hoja yangu iweze kuonekana ningependa mtu anayejua mambo haya mawili atusaidie:
a. Alipata shahada ya kwanza wapi na ni katika vitu gani?
b. Shahada yake ya Udaktari aliipata wapi na inahusiana na vitu gani?
Na je, shahada hizo zinapaswa kukubaliwa na watu wengine ambao hawakubaliani na vile alivyosomea?