h..pamoja na heshima kubwa niliyonayo kwa Prof.Kabudi napata taabu kukubaliana na kauli yake hiyo.
h
umeshindwa hata ku google?
Vile mbowe alipokwepa kodi na kupigwa faini ya milioni tatu,ingekua uk saa hiizi angerudia kazi yake ya kulima mapapai kando ya mto
Hizo nchi hata makaburi ya ukwepaji kodi kama ulifanya miaka 20 hata 30.. watafukua na kukumaliza..
Sasa lengo lako la kuweka huu uzi ni nini, maana unaanzisha debate ilhali ushatake side...ukiua wanakusamehe?
..au ukiuka hukumu yake inakuwa nafuu kuliko kukwepa kodi?
.."msiwafanye waTz hawana akili"
Sasa lengo lako la kuweka huu uzi ni nini, maana unaanzisha debate ilhali ushatake side.
Sent using Jamii Forums mobile app
yawezekana..Je, angekuwa UK au US angepigwa hukumu ya maisha without parole kwa kukwepa kodi?
Mwezi ulio pita mwanasharia wa Trump kipindi cha kampaini alibainika alikua anafanya kazi ya kutowa ushauri kwa serikali ya Ukuraini naalikua analipwa $300'000 kwa miaka miwili FBI ulibaini kwa kutowa ushahidi wakutosha kwamba jama alikuepa kulipa kodi kwenye federal government zaid ya $1m jama alikili na Mahakama elimuhukumu kufungwa miaka 3 jela ila aliomba aanze hukumu yake mwezi wa nane mwaka hu.....wewe jaribu kuua kama utafungwa miaka mitatu.....mstulishe matango pori..Je, angekuwa UK au US angepigwa hukumu ya maisha without parole kwa kukwepa kodi?
..ukiua wanakusamehe?
..au ukiuka hukumu yake inakuwa nafuu kuliko kukwepa kodi?
.."msiwafanye waTz hawana akili"