Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Watanzania hawagawanyiki kwa chochote anayeendesha siasa za kuwagawanya watu mwisho wake ni aibu kubwa kwake na kwa bichwa lake kama analo
 
Sio rahisi mtu mwenye akili aburuzwe na akae kimya ukiona watu wako kimya maana yake ni kwamba hawajaburuzwa

Piga kelele upigwe risasi au upewe kesi ya uchochezi. Unakumbuka yule jamaa alayemuomba rais kuwa aachie pesa? Nadhani uliona majibu yake.
 
Piga kelele upigwe risasi au upewe kesi ya uchochezi. Unakumbuka yule jamaa alayemuomba rais kuwa aachie pesa? Nadhani uliona majibu yake.
Yule jamaa hakufanywa chochote kibaya na mzee wetu zaidi ya kushauriwa kufanya kazi kama mwanaume au kuolewa kama anaona hawezi kufanya kazi
 
Thubutu!
yani majukum,u yote hayo nilipwe sawa na mbunge?
 
Wanatuandaa kisaikolojia kwa kutuwekea KUB wao bungeni!!!2020 atakuwa Lipumba kwa uchakachuzi wa tume!!!
 
kwa kifupi BBI ni copy and paste ya mwafaka wa Zanzibar kati ya Amani Karume na Maalim Seif hautekelezeki na sio suluhisho la kudumu kwa matatizo ya Kenya Kama ambavyo ulifeli Zanzibar
 
kwa kifupi BBI ni copy and paste ya mwafaka wa Zanzibar kati ya Amani Karume na Maalim Seif hautekelezeki na sio suluhisho la kudumu kwa matatizo ya Kenya Kama ambavyo ulifeli Zanzibar

Kilichofanya muafaka wa Zanzibar ukafeli ni kitendo cha kuingiliwa na ccm Tanzania bara. Hapo ndio muafaka ulipovunjikia.
 
Kilichofanya muafaka wa Zanzibar ukafeli ni kitendo cha kuingiliwa na ccm Tanzania bara. Hapo ndio muafaka ulipovunjikia.
maybe!!
ila mimi nadhani we can not afford kuvunja muungano, CUF kukabidhiwa vile visiwa muungano bye-bye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…