Prof. Kabudi aieleza Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania haijawahi kushindwa vita ya aina yoyote

Hujui lolote wewe kibaraka.
 
UTU anaomaanisha ni MADARAKA. Sio utu ule unaofahamika na wengi.

Huyu mtu hii wizara ni kubwa sana ni bora angebaki tu ikulu akae meza moja na mkulu awe mshauri wa karibu.

Hii wizara HAIMTOSHI.

HII WIZARA HAITAKI KUFOKA FOKA.
Dah sasa akiwa mshauri wa Rais sindio itakuwa bala maana Rais mwenyew kichwani hamna kitu alafu huyo akiwa mshauri wake siitakuwa kama pipa na mfuniko wake
 
Huyo ni mpuuzi tu mja ambae hajui hata bei ya kitunguu kama mfanyabiashara,anakula kwa jasho letu ndio maana anapata kiburi cha kujigamba,tutakaoumia ni sisi tunaowalisha sio wao waropokaji tu kwa kuwa wana midomo mikubwa na michafu
 
ID yako inaelezea uhalisia wako. Wewe ni wakutumiwa kuandika tu hata kama ni utopolo. Ndiyo kazi ya Kalamu.
Wewe unafahamika hapa ukumbini kwa kutokuwa na mchango wowote wa maana unaoweza kujivunia.

Nilipoku'quote' hapo nilijua huna jipya unaloweza kuchangia hapa, mbali ya yale unayofahamika kuyachangia.

Hata hivyo, kutokana na uliyoandika hapa, inaonyesha umenielewa barabara nilichokueleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…