Mbona unazunguka.sema mtaiba kura kwa kutumia NEC, MADED na POLICCM.Achana na Tume huru wewe
Mwaka huu haponi mtu tutashinda kwa mbinu
Mwaka huu tutatumia kitu kinaitwa"SHIKWAMBI"
Haponi mtu bungeni labda Zitto na Mbatia tu watarudi
Tunambinu nyingi mwaka huu tunatumia Shikwambi majimbo ya upinzani
Tutashinda kwa mbinu
Tutashinda kwa mbinu iwe jua au mvua
Kwa uhalali ya sanduku la kura sisiemu kinageuka chama cha upinzani saa 3 asbhAcha uhuni, tunashinda kwa halali kwa box ya kura
Kilosa tafuteni kamanda mmoja kutoka CDM achaneni na udikteta wa ccm.Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi
Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.
Prof. Kabudi sidhani hata watoto wake kwenye wasifu wao kama wanajitambulisha kama wenyeji wa Kilosa. Itoshe tu kusema afadhari kuchagua mwarabu wa Kilosa kuliko Prof. Kabudi. Huyu alidai aliokotwa jalalani na Rais itoshe aendelee kuwa mbunge wa jimbo la Jalalani.
Na hasa nyumba ndogo!Yaani Kazi Kapewa Nzuri Sana Badala Aifanye Kazi Kutongoza Wake Za Watu, Acha Akale Jeuri Yake
Yaani Hajui Mke Anauma Sana 😀😁😂😂😂
Hata kura zisipotosha atatangwa tu. Mkurugenzi ataamriwa atangaza kuwa Kanudi ameshinda!Ndiyo mbunge wako huyo utake usitake
Hahahaaaaaa . . . .inatia huruma na inafurahisha vilevile. Ngoma ngumu sana October 2020Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.
Kwani Mustafa Mikulo alipogombea jimbo la Kilosa alikuwa na nyumba Kilosa...?Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi
Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.
Prof. Kabudi sidhani hata watoto wake kwenye wasifu wao kama wanajitambulisha kama wenyeji wa Kilosa. Itoshe tu kusema afadhari kuchagua mwarabu wa Kilosa kuliko Prof. Kabudi. Huyu alidai aliokotwa jalalani na Rais itoshe aendelee kuwa mbunge wa jimbo la Jalalani.
SanaNa hasa nyumba ndogo!
Kilosa, Buhigwe na Kasulu ni majimbo maalum mwaka huu
Kabudi anataka kuvamia jimbo kimabavu.Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi
Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.
Prof. Kabudi sidhani hata watoto wake kwenye wasifu wao kama wanajitambulisha kama wenyeji wa Kilosa. Itoshe tu kusema afadhari kuchagua mwarabu wa Kilosa kuliko Prof. Kabudi. Huyu alidai aliokotwa jalalani na Rais itoshe aendelee kuwa mbunge wa jimbo la Jalalani.
Ukija kuzinduka katika huo usingizi utamkuta ni mbungeZiara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi