Uchaguzi 2020 Prof. Kabudi bila mbeleko Kilosa ubunge mgumu kwake. Warabu wa Kilosa wanamzidi kutamka majina ya vijiji vya Kilosa

Kujua vijiji siyo issue,Bashe aliwatoa kamasi Kigwangala na Seleli kibishi hivyo hivyo tu😁.
 
Profesa Majalalani..

Hili jamaa litafeli ubunge

Halafu Mawe anachagulia watu wabunge,wote watafeli na ataona tatizo ni nini...

Na hili la wagombea,Chadema inaweza cheza vizuri
 
Mbona nipo jera tu tangu 2015?
Sio JERA ni Jela. Kama unadanganya basi nakuombea uingie kabla mwaka huu haujaisha ili ujue kutofautisha maisha ya uraiani unayoyaita JERA na maisha halisi ya Jela.
 
Prof. Kabudi sidhani hata watoto wake kwenye wasifu wao kama wanajitambulisha kama wenyeji wa Kilosa. Itoshe tu kusema afadhari kuchagua mwarabu wa Kilosa kuliko Prof. Kabudi. Huyu alidai aliokotwa jalalani na Rais itoshe aendelee kuwa mbunge wa jimbo la
 
Mmh
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…