Nahisi umri wake utakuwa umeenda sana kufikia z025
REF: NYERERE ==> MKAPA!Watawala wa JMT waliotangulia hakuna aliyewahi kufanikiwa mteule wake kuwa Rais, ikitokea itakuwa mara ya kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajitahidi kumuozesha kabla muda haujafika maana taasisi ya uraisi bila mke ni ngumu.Hii thread ni Political Speculations tu.
Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana JPM akamrecommend Prof.Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa JMT 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa JPM na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.
Time will tell.....
Naunga mkono hoja ya political speculation ya mtu yoyote kuweza kuwa rais wa Tanzania, japo trends za urais kwa mujibu wa silent rules za CCM zinaelekeza rais ajae anapaswa kuwa Muislamu kwa mujibu wa kanuni ya siri ya urais ni kupokezana kati ya Mkristo na Muislamu.Hii thread ni Political Speculations tu.
Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana JPM akamrecommend Prof.Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa JMT 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa JPM na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.
Time will tell.....
Hahahaha, kuna Uzi zako zina bashiri MTU mwingine anko ,au umesahau ?Naunga mkono hoja
Hakunaga limit number ya ubashiriHahahaha, kuna Uzi zako zina bashiri MTU mwingine anko ,au umesahau ?
MTC | 101| [emoji769]
Bado sijamuona kijana smart wa kumrithi Magufuli...labda mimi ha ha ha!
Yote yanawezekana ingawa taifa litaweza kusimama pale tu, tutakapoweza kuondokana 'na mitazamo ya kidini.Naunga mkono hoja ya political speculation ya mtu yoyote kuweza kuwa rais wa Tanzania, japo trends za urais kwa mujibu wa silent rules za CCM zinaelekeza rais ajae anapaswa kuwa Muislamu kwa mujibu wa kanuni ya siri ya urais ni kupokezana kati ya Mkristo na Muislamu.
Kwa vile rais wa sasa ni Mkristo, then rais ajae ni lazima awe Muislamu. Hivyo silent movement ya kuwajeruhi every likely candidates ambao ni Waislamu imeanza, ilianza kwa Prof Mbarawa
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, na hoja, halafu jibu tulitoa wewe mwenyewe. Moja ya matatizo makubwa ya nchi yetu ni kutokuwa na kitu kinachoitwa succession plan kwenye urais wa nchini, hivyo mwaka wa uchaguzi ukifika, kila mtu...www.jamiiforums.com
Kufuatia huyu kuwa likely candidate, karata zimeisha changwa kumtoa kwenye wizara ambayo ata ngara na kumuweka wizara ya kifo ambayo ni sawa na kumtupia tuu kamba wakimsubiri ajinyonge
Akaja January Makamba,
January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
Watch Clouds 360 Degrees Live , January Makamba yuko Live. January Makamba, akiongea, anaonekana yuko very intelligent upstairs kwa sababu anaonyesha ana think kabla ya kuongea. Kuna baadhi ya viongozi wetu, I doubts kama wana think kabla hawajaongea ndio maana kiwango cha upayukaji kwa awamu...www.jamiiforums.com
Walimtafutia visa kwenye mazingira, wakakosa, jamaa akaja kujikwaa kwenye kumsaidia baba yake kwenye ile voice note, jamaa pale pale akala kichwa!.
Sasa threth ni Jafo, Dr. Mwinyi na Dr. Kigwa, naona Kigwa gazeti la Jamhuri limeisha anza kumpumulia!. Jafo na Dr. Mwinyi bado hawajapata pa kuwashikia.
Licha ya hii kanuni ya kupokezana kwa dini, kuna baadhi ya watu ni wazuri kumpokea Magufuli ila sio Waislamu mmoja wapo ni huyu
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...www.jamiiforums.com
Hivyo kumtaja Prof. Kabudi naye kuwa likely sio mbaya, ila Kabudi hawezi kuwa rais wa nchi hii kwasababu anakabiliwa na changamoto fulani hivi ziwezi kuitaja maana nitanyooshewa vidole vya ....
P
Ni zamu ya muislam kiutaratibu tena toka zanzibarHii thread ni Political Speculations tu.
Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.
Time will tell.....