Hatari na nusu. Amechanganyikiwa huyu waziri tokea alivyoambiwa hatopewa nafasi ya kugombea urais.Kweli amewakosea wakubwa wa Dunia adabu
Wanatafuta la jambo baya kwa gharama sijuwi ni kwa nini!Hatari na nusu.
"Nasema hizo hela watazitapika, zitawatokea kupitia tundu lolote" kauli pendwa na mheshimiwa.Wanatafuta la jambo baya kwa gharama sijuwi ni kwa nini !
Katumia lugha ambazo sio za kistaarabu na za kugandamiza demokrasia
Si anzisha na wewe forum yako uajiri mods wa ccm acha ukudaUmeandika ujinga mtupu ila kwakuwa mods ni wanaukawa wataliacha hili
Sio kizembe hivyo!"Nasema hizo hela watazitapika, zitawatokea kupitia tundu lolote" kauli pendwa na mheshimiwa.
Sasa itatumika dhidi ya serikali ya tanzania.
Ujinga ni nini hapo? Kwani kamati za bunge la ndungai zikikaa huwa kuna waziri anazijibu nje ya bunge na kwa majibu ya kikolofi kama alivyofanya Kabudi, kwanini kabudi anataka kuwaaminisha watu kuwa nchi yetu imetwezwa jambo ambalo sio kweli, EU imewataka kujibu? Jibu ni hapana ni kiherehere chao.Umeandika ujinga mtupu ila kwakuwa mods ni wanaukawa wataliacha hili
Walio ulizwa ni maofisa wa EU walete majibu ndani ya masaa 48 kwenye kamati ya bunge la EU, yeye kabudi anajibu kama nani sasa.Ulitaka akae kimya ili iweje?
Ile ni kazi yake bwashee!
Mbona kama mmechanganyikiwa mnapokezana kuanzisha mada maudhui ni yale yale tu, aliyeambiwa ni Muzungu kuumia na povu mnatoka ni ninyi, kulikoni ?
Alitakiwa akawaambie wazungu huko huko.
Kaamua kutumibia sisi, na tumemsikia ni Waziri wetu.
Waziri wa ccm sio wetu.