Ndio michango yetu humu kuacha mada na kumzungumzia mtu usiyemjua kana kwamba unamjua.
Ushawahi kujiuliza kwanini wengine hawamchukii mtu ambaye wewe unachukia pamoja na kwamba wote mnakubali kwamba huyo mtu ana makosa au hukosea watu, ushawahi kujiuliza kitu kama hicho?Kwann unachukiwa? Uliwafanya nn? Kuna kitu unafanya wenzio hawakipendi ndio inatakiwa ujiangalie mfumo wako wa maisha ukoje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa teacher naona CORONA imekuleta JF kutoa darasa baada ya kukaa benchi miezi 2.Uongo wako kuwa ni kweli tupu = Uongo wako kuwa ni ukweli mtupu..
Hilo rahisi mkuu namchukia kwa yale matendo yake kwangu ila kwako unampenda sababu matendo yake wewe unayafurahiaUshawahi kujiuliza kwanini wengine hawamchukii mtu ambaye wewe unachukia pamoja na kwamba wote mnakubali kwamba huyo mtu ana makosa au hukosea watu, ushawahi kujiuliza kitu kama hicho?
Yaleyale niliyoyasema kwamba kwa sababu wewe unamchukia mtu fulani basi unataka kila mtu amchukie huyo mtu na asiyemchukia ni kwamba anampenda. Kama makosa ya huyo mtu wote tunayaona ila wewe kama umeamua kumchukia huyo mtu kwa hayo makosa basi sawa ila sio kwamba lazima na wengine wamchukie.Hilo rahisi mkuu namchukia kwa yale matendo yake kwangu ila kwako unampenda sababu matendo yake wewe unayafurahia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi wa 3 duh mbona ngumu kumeza huu mwezi wa 5Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC.
Prof Kabudi amesema mwezi March mwaka huu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu aliongoza kikao cha mawaziri wa afya kwa nchi za SADC na kuweka mpango kazi ambao baadae uliridhiwa na kikao cha baraza la mawaziri wa SADC alichokiongoza yeye ( Prof Kabudi)
Pia Kabudi amesema hivi karibuni Rais Magufuli ambaye ndiye mwenyekiti wa SADC ameziomba taasisi za fedha duniani na nchi wahisani kuziondolea madeni nchi za SADC ili ziwexe kushiriki kikamilifu katika kulidhibiti janga hili hatari la Corona.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
😀😀😀😀 eti Magufuli ameziomba taasisi za fedha, anazijua kwanza?Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC.
Prof Kabudi amesema mwezi March mwaka huu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu aliongoza kikao cha mawaziri wa afya kwa nchi za SADC na kuweka mpango kazi ambao baadae uliridhiwa na kikao cha baraza la mawaziri wa SADC alichokiongoza yeye ( Prof Kabudi)
Pia Kabudi amesema hivi karibuni Rais Magufuli ambaye ndiye mwenyekiti wa SADC ameziomba taasisi za fedha duniani na nchi wahisani kuziondolea madeni nchi za SADC ili ziwexe kushiriki kikamilifu katika kulidhibiti janga hili hatari la Corona.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Kwann unachukiwa? Uliwafanya nn? Kuna kitu unafanya wenzio hawakipendi ndio inatakiwa ujiangalie mfumo wako wa maisha ukoje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehem nimesema nikimchukia mtu lazima wote wamchukie umejitungia weweYaleyale niliyoyasema kwamba kwa sababu wewe unamchukia mtu fulani basi unataka kila mtu amchukie huyo mtu na asiyemchukia ni kwamba anampenda. Kama makosa ya huyo mtu wote tunayaona ila wewe kama umeamua kumchukia huyo mtu kwa hayo makosa basi sawa ila sio kwamba lazima na wengine wamchukie.
Chuki ilivyo ni kwamba mtu anaweza kukuchukia hata ulipotenda haki na kutenda haki huko kukamuathiri yeye mtu anaweza kukuchukia kwa hilo na kuna wakati unaweza hata ukamchukia mtu kwa mambo yake tu ambayo hata hajakukosea hata kidogo ila basi tu imetokea kumchukia, sasa usione chuki yako ni jambo kubwa sana.
Sasa usiendekeze hizo hisia za chuki kwa kudhani ni jambo kubwa sana maana mnakuja humu na kujadili mambo kwa hisia za chuki kitu ambacho sio sahihi maana mnakuwa mnashindwa kujadili mambo kiusawa kisa mnamchukia huyo mtu.
Povu,kunywa maji ushushe hasira mkuu.Hahaha haturatibu chochote, tunalala na kuamka chato tunasikia milio ya ndege asubuhi tunaangalia tv na kupokea simu mbili tatu alafu tunarudi kulala.
Ye anaongelea kikao cha mwezi wa tatu bila hata aibu wakati huo corona haijafika hata Afrika, vijimaneno walivyosema kipindi kile ambavyo hawajakaa kukamilisha ndiyo wanakuja kusema wanaratibu? Nini my ass? Huyu profesa anahisi kila mtu ni mwanafunzi wake kilaza, hayupo serious kabisa, ile dawa ya madagascar imemchanganya akili.
Na ile casual talk ya jiwe kuomba msamaha wa fedha ndiyo anaona kama tunaongoza vile kwenye kupambana na covid? Hahaha ile nayo ataita effort? Hela wamewapa Kenya na Rwanda, sisi tufanyeje sasa? Tukae tujifukize? Nyambaf
Kama mnalalamika kwa Zambia kufunga mpaka wake, waMbowe wanalilia kufunga nchi yote! hakuna kwenda kazini, hakuna mabasi kutembea na kila mtu kubaki nyumbani kwake, labda kama unaenda kununua chakula na njiani unakutana na askari wanakuhoji!! Hiyo ndio lockdown wanayotaka waMbowe!!!May 13, 2020
Tunduma, Tanzania
Uchumi wa wananchi umetetereka kufuatia hatua ya Zambia kufunga mpaka
Janga la Corona limeathiri kwa kiasi kikubwa shughuli za kibiashara katika mji wa Tunduma ambao uko kwenye mpaka wa Tanzania na Zambia. Wakazi wa eneo hilo wana hofia huenda hali ikazorota zaidi baada ya Zambia kuufunga mpaka wake na kuwaacha madereva wa malori na wakazi wengine wa Tunduma na hofu ya kuendelea kuporomoka kiuchumi.
Source : BBC News Swahili
Ukizungumzia chuki kwa jinsi chuki ilivyo ni kwamba ukishamjengea mtu chuki basi kila jambo la huyo mtu wewe huona baya kwamba hakuna jema kwa huyo mtu na hiyo ni kutokana unamchukia huyo mtu, kwahiyo utaona hapo unamtazama mtu kwa jicho la chuki na ndio linafanya uone kila kitu kutoka kwa huyo mtu ni kibaya kitu ambacho kwenye uhalisia si sahihi. Sasa kibaya ni kwamba unakuta unataka na kila mtu achukie unayemchukia au amjadili mtu kwa chuki kama ulivyo wewe hutaki mtu unayemchukia aelezewe kwa mazuri yake.
Lakini huwa najiuliza hivi hiki kiwango cha chuki kinachooneshwa humu ni kweli ni kiwango sahihi anachostahili huyo anayechukiwa?
Kiswahili ni lugha ya Taifa,ni kosa la jinai kuinajisi pendwa ya Taifa la Tanzania..Sawa teacher naona CORONA imekuleta JF kutoa darasa baada ya kukaa benchi miezi 2.
Natumai mpaka kusahihisha ulielewa dhamira na maudhui ya comment; ila ingependeza zaidi kama ungeweka na marks nilizopata ili nifanye masahihisho.
We huu mwizi may, kabudi anaongea mambo ya march na unamsifia wakati viongozi wa kanda wanajadili mbinu mbalimbali kila sikue, kila post unakimbilia kuunga mkono upumbavu, ukoje?Ramaphosa na kiherehere chake kumbe alikuwa anaropoka tu
Ramaphosa alishindwa kuwatetea Wananchi wake waliouawa migodini akawatetea Wazungu
Ndio nikijua hamna kitu pale
Kwa hiyo unamwamini Disco Jocker sio?Kwa mambo yanavyoenda hapa nchini, ya kufichaficha taarifa, kamwe siwezi amini taarifa yoyote ya serikali. So hata huyu Kabudi simwamini kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
"No orchids for Miss Blandish"James Hadley Chase[emoji23]