johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa hiyo Mokiwa ndiye aliuza eneo?!Mleta Mada Nadhani Wewe Ni Mgeni Sana
DC Hajafichua Lolote Kuhusu Hilo Eneo...
Huyo Alikuwa Na Kundi Lake Ndiyo Waliuza Ila Kanisa Anglican Likalimaliza Hilo Jambo Kuepuka MpasukoKwa hiyo Mokiwa ndiye aliuza eneo?!
Ili wapate hela.Kwann wameuza?
yani jane hajui kwanini waliuza 😂😂Ili wapate hela.
Mmmmh haya makanisa sasa bora mwenye nayo arudi ayachukue maana yamejaa wahuni na magenge ya wezi kwa kivuli cha bibliaMleta Mada Nadhani Wewe Ni Mgeni Sana
DC Hajafichua Lolote Kuhusu Hilo Eneo
Hapo Buza, Buguruni Shell, Buguruni Malapa Hayo Ni Maeneo Ya Kanisa Anglican
Huko Buza Eneo Limeuzwa Kwa Hira, Thread Imo Humu Iliyojadili Kwa Kina, Unajua Kilichomtoa Archbishop Mokiwa Ni Hayo Maeneo
Ulitokea Mpasuko Mkubwa
Nani Ya Kanisa ShidaMmmmh haya makanisa sasa bora mwenye nayo arudi ayachukue maana yamejaa wahuni na magenge ya wezi kwa kivuli cha biblia
Vumilieni apone kwanzaNajua nafasi katika Kanisa Anglican jimbo la Tanzania na hususani Dayosisi ya Dar es Salaam ndio maana nakuomba sana mh Prof Kabudi utusaidie kumng'amua aliyeuza kiwanja cha Kanisa kule Buza ili kijengwe kituo cha daladala.
DC Gondwe ambaye pia ni mwana St Alban japo yeye ni Mlutheri wa Mbezi Beach amefichua uozo huu na kutufumbua macho sasa ni jukumu lenu wazee wa dayosisi tena mlio wakongwe Prof Kabudi na kapteni Mkuchika mkatutatulia kitendawili hiki cha serikali kununua kiwanja cha Kanisa kinyemela.
Mungu wa mbinguni awatie moyo muweze kusimamia kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Mleta Mada Nadhani Wewe Ni Mgeni Sana
DC Hajafichua Lolote Kuhusu Hilo Eneo
Hapo Buza, Buguruni Shell, Buguruni Malapa Hayo Ni Maeneo Ya Kanisa Anglican
Huko Buza Eneo Limeuzwa Kwa Hira, Thread Imo Humu Iliyojadili Kwa Kina, Unajua Kilichomtoa Archbishop Mokiwa Ni Hayo Maeneo
Ulitokea Mpasuko Mkubwa
Wanaitumia dini vibaya sanaNani Ya Kanisa Shida
Thread Za Hii Issue Zipo Humu Ila Zimefungwa Huwezi Kuchangia Tena!!
Kuna eneo Gondwe amesema panataka kujengwa stendi ya daladala, unapajua hapo bwashee?!Buza eneo halijauzwa.. bali wameingia mkataba na tajiri kishimba mbunge wa kahama... amejenga appartments nyingiiiii... ambazo kodi anazolipwa kuna asilimia inaenda kanisani Anglican