Prof. Kabudi tusaidie kumng'amua aliyeuza eneo la Kanisa Anglican kule Buza na kumfanya DC Gondwe kuchachamaa sana!

Ufujaji Mali na Ukabila, hivi Yesu analitambua hili kanisa kweli?
 
Naomba Picha ya Mokiwa nimemsahau.
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ€£πŸ€£πŸ˜ŠπŸ˜
Search Thread Zinazozungumzia Huu Mgogoro
Huko Picture Tele Za Archbishop Mokiwa
Uongozi Umezuiwa Usichangiwe Tena
 
Buza eneo halijauzwa.. bali wameingia mkataba na tajiri kishimba mbunge wa kahama... amejenga appartments nyingiiiii... ambazo kodi anazolipwa kuna asilimia inaenda kanisani Anglican
Ninavyo fahamu mimi, sioni tatizo lolote Buza, kwa kuwa baada ya miaka 25 kanisa litakuwa na nyumba 450. Na miaka Minne imekwisha pita. Sasa hivi wanachukua chochote kitu kwa upangaji na walipata kishika uchumba. Hapa ni kutengemea muono wa kila muumini.
 
hivi hili kanisa si ndo aliwahi kuwapo Archbishop Ramadhani?
 
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ€£πŸ€£πŸ˜ŠπŸ˜
Search Thread Zinazozungumzia Huu Mgogoro
Huko Picture Tele Za Archbishop Mokiwa
Uongozi Umezuiwa Usichangiwe Tena
Naomba heading mkuu tuusome
 
nadhani hili ndio kanisa ambalo makasisi wake wanalipwa peanuts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…