OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Akihojiwa na kituo cha Wasafi Media Mkongwe Profesa Tibaijuka amekiri wazi kuwa historia ya Tanganyika ameficha mchango wa Bibi Titi na Oscar Kambona. Amesema kulikuwa na kutokuelewa na Mwalimu.
Amesema kwenye siasa haya ni mambo ya kawaida lakini sio sababu ya kuwaweka pembeni katika historia.
Amekiri historia inahitaji marekebisho
Amesema kwenye siasa haya ni mambo ya kawaida lakini sio sababu ya kuwaweka pembeni katika historia.
Amekiri historia inahitaji marekebisho