Prof Kitila: Bajeti ya 2025|26 miradi mikubwa itatekelezwa kwa PPP

Kuna zile km 2500 za barabara kwa sijui ndio EPC+F... Zimefika wapi?
 
Wacha kazi iendelee TANZANIA
 
Safi kabisa
 
Safi sana Kitila
 
Kitila ni balaaa na nusu mbishi aje hapa jf
 
PPP inaweza kuifanya Tanzania kama US kwa mwaka mmoja tu lakini lazima nchi iwe na utulivu wa kisiasa
Hizi ndio kauli za kisiasa, ambazo wakiambiwa watanzania wajinga wanapiga shangwe.
"tanzania kama marekani," tena kwa mwaka mmoja aah, kmmae walai 🤣
 
Lakini Kwa nchi kama zetu hizi za 10% PPP haiwezi kukubalika na wenye mamlaka, Watu walizoea kutumia pesa ya Serikali kujenga miradi na kuzigeuza kuwa zao na hata wakikupa kazi lazima uwaache na chochote,PPP mpaka ipenye sio rahisi
Viongozi walafi hawazuiliki.
 
Sio rahisi kiivyo
 
August is loading.
 
Sawa Mr Prof,
 
Kitila namkubali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…