Prof. Kitila: Hatujapunguza kodi kwenye bia za Kawaida

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema serikali imepunguza kodi kwenye bia zinazotumia shayiri ya Tanzania 100%

Amesema malalamiko ya kusema zimepunguzwa kwenye bia na kupelekwa kwenye miamala ni kutoelewa

Amesema dhumuni la kushusha kodi ni kuwezesha uanzishwaji wa kiwanda na kuchochea kilimo cha shayiri nchini

Aseee,kwaiyo bajeti hii Haina sehemu yoyote yenye nafuu..

Na Hili nalo Tutazoea
 
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema serikali imepunguza kodi kwenye bia zinazotumia shayiri ya Tanzania 100%

Amesema malalamiko ya kusema zimepunguzwa kwenye bia na kupelekwa kwenye miamala ni kutoelewa

Amesema dhumuni la kushusha kodi ni kuwezesha uanzishwaji wa kiwanda na kuchochea kilimo cha shayiri nchini
View attachment 1866162
Bia za kawaida ambazo hazitumii shayiri ya Tanzania ni zipi? Safari? Kilimanjaro?

Ambazo ni imported kama Heineken labda. Lakini hata zile Serengeti za Wakenya si wanatumia shayiri ya Tanzania? Au sijaelewa?
 
Hicho kiwanda ni cha nani mkataba wake upoje mpaka kufikia hatua ya kutikisa kodi kwenye bajeti?wanzilishi wake ni nani hasa
 
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema serikali imepunguza kodi kwenye bia zinazotumia shayiri ya Tanzania 100%

Amesema malalamiko ya kusema zimepunguzwa kwenye bia na kupelekwa kwenye miamala ni kutoelewa

Amesema dhumuni la kushusha kodi ni kuwezesha uanzishwaji wa kiwanda na kuchochea kilimo cha shayiri nchini
View attachment 1866162
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zamu ya wanywaji kuja juu tulijua bia zinashuka bei kumbe walikuwa wanatania[emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna sababu yoyote ya maana ya kushusha bei ya bia! Ongeza bei ya bia, uokoe watu toka kwenye ulevi na magonjwa na matatizo mengine yanayosababishwa na ulevi, period!
 
Yaani bei ya bia ambayo haipo, non existing inapunguzikaje?? Yaani kumbe hata kiwanda hakipo, ndio kwanza wanataka kujenga Dodoma!!!
1. Huu ni ulaghai. Bei za bia zitapangwa baada ya kutengenezwa na standard yake kujulikana.
2. Kuna harufu ya ufisadi juu ya offer hii kubwa ya kabla ya wakati. Kiwanda cha nani?
 
Na ufisadi ndo jadi ya CCM!
 
Back
Top Bottom