Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Bia za kawaida ambazo hazitumii shayiri ya Tanzania ni zipi? Safari? Kilimanjaro?Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema serikali imepunguza kodi kwenye bia zinazotumia shayiri ya Tanzania 100%
Amesema malalamiko ya kusema zimepunguzwa kwenye bia na kupelekwa kwenye miamala ni kutoelewa
Amesema dhumuni la kushusha kodi ni kuwezesha uanzishwaji wa kiwanda na kuchochea kilimo cha shayiri nchini
View attachment 1866162
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zamu ya wanywaji kuja juu tulijua bia zinashuka bei kumbe walikuwa wanatania[emoji1787][emoji1787]Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema serikali imepunguza kodi kwenye bia zinazotumia shayiri ya Tanzania 100%
Amesema malalamiko ya kusema zimepunguzwa kwenye bia na kupelekwa kwenye miamala ni kutoelewa
Amesema dhumuni la kushusha kodi ni kuwezesha uanzishwaji wa kiwanda na kuchochea kilimo cha shayiri nchini
View attachment 1866162
Na ufisadi ndo jadi ya CCM!Yaani bei ya bia ambayo haipo, non existing inapunguzikaje?? Yaani kumbe hata kiwanda hakipo, ndio kwanza wanataka kujenga Dodoma!!!
1. Huu ni ulaghai. Bei za bia zitapangwa baada ya kutengenezwa na standard yake kujulikana.
2. Kuna harufu ya ufisadi juu ya offer hii kubwa ya kabla ya wakati. Kiwanda cha nani?