Amesema hayo Julai 20, 2024 jijini Mwanza na kufafanua kuwa Vijana wamependekeza Serikali kishughulikia zaidi uchumi na Ustawi wa Jamii kwa kuongeza nafasi za ajira na uwekezaji kwenye huduma bora za kijamii
Katika hiii dunia rafiki wa kweli ni pesa ,wewe hata na marafiki million 70 ila rafiki anayeweza kukusitiri ktk uhai wako wote ni bima yako,viwanja vyako,gari zako ,ofisi zako,mifugo yako na hela zako benk,hata ukiona ndugu na marafiki wanakuangaikia wakati unaumwa ujue wanaangalia ulicho nacho tu .hivyo kama ukiamini rafiki wa kweli ni mali zako, ng'ombe zako na aseti zako huto kaa ulaum mtu yeyote ktk dunia hiii na kusema ni marafiki,mbona ukiwa nacho huwi na urafiki na wachina yako unatafuta wenye uwezo zaidi yako?