Pre GE2025 Prof. Kitila Mkumbo amwambia Boniyai ' Niko mitaani kila siku, nimekaba kila kona nakusubiri kwa hamu"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuelekea Uchaguzi mkuu 2025 Prof Kitila Mkumbo ameweka wazi kabisa Boniface Jacob wa Chadema aendelee kuuza Mayai swala la Ubunge pale Ubungo asahau kabisa

Majibishano yao wameyafanya Ukurasani X

My take; DSM Chadema haitapata Jimbo hata moja
 
Kitila Hana uwezo wa kumshinda BJ,2020 aliingia Kwa sbb ya Magufuli
 
Kuelekea Uchaguzi mkuu 2025 Prof Kitila Mkumbo ameweka wazi kabisa Boniface Jacob wa Chadema aendelee kuuza Mayai swala la Ubunge pale Ubungo asahau kabisa

Majibishano yao wameyafanya Ukurasani X

My take; DSM Chadema haitapata Jimbo hata moja
Profesa badala ya kutumia taaluma yake University anaangaika na ubunge wa watu wenye elimu za kuungaunga so sad.

Ifike wakati Rais apewe fursa ya kuteuwa mawaziri nje ya Wabunge, maana kiuhalisia hapo shida yake si ubunge bali amenogewa na uwaziri.

Majimbo yote yenye mawaziri yanahujumiwa hayana wawakilishi bungeni.
 
Back
Top Bottom