johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kitila Mkumbo asimalize manenoKuelekea Uchaguzi mkuu 2025 Prof Kitila Mkumbo ameweka wazi kabisa Boniface Jacob wa Chadema aendelee kuuza Mayai swala la Ubunge pale Ubungo asahau kabisa
Majibishano yao wameyafanya Ukurasani X
My take; DSM Chadema haitapata Jimbo hata moja
Its sad vijana kama wewe mnawaza uganga ili upate kitu, cant you work hard ,pray, and utengeneze network yako?Mwenye mganga mzuri kati yao ndiye atakayeshinda ubunge
Kitila Hana uwezo wa kumshinda BJ,2020 aliingia Kwa sbb ya MagufuliKuelekea Uchaguzi mkuu 2025 Prof Kitila Mkumbo ameweka wazi kabisa Boniface Jacob wa Chadema aendelee kuuza Mayai swala la Ubunge pale Ubungo asahau kabisa
Majibishano yao wameyafanya Ukurasani X
My take; DSM Chadema haitapata Jimbo hata moja
Because you know nothingIts sad vijana kama wewe mnawaza uganga ili upate kitu, cant you work hard ,pray, and utengeneze network yako?
Why always uganga uganga?
Profesa badala ya kutumia taaluma yake University anaangaika na ubunge wa watu wenye elimu za kuungaunga so sad.Kuelekea Uchaguzi mkuu 2025 Prof Kitila Mkumbo ameweka wazi kabisa Boniface Jacob wa Chadema aendelee kuuza Mayai swala la Ubunge pale Ubungo asahau kabisa
Majibishano yao wameyafanya Ukurasani X
My take; DSM Chadema haitapata Jimbo hata moja