Prof. Kitila Mkumbo: Kutoa ajira 21,000 ni ishara uchumi wetu unaenda vizuri

Prof. Kitila Mkumbo: Kutoa ajira 21,000 ni ishara uchumi wetu unaenda vizuri

Kwa kawaida Serikali inatakiwa iajiri angalau watu 70,000 kwa mara 1 hii itsaidia s
 
Kwa nini hakubaki UD kufundisha? Kwa hiyo ndo anatufundisha kupitia bungeni? Anatufundisha sisi wananchi leo tumekuwa wanafunxi wake? Arudi tu chuo akafumdishe sis 2025 wananchi hatumtaki!
 
Ama kweli kusoma sana sio kutoa ujinga. Unaweza kuzaliwa na uwezo wa kihekima ila ukaipoteza kwa kujaza madafatri yasiyokusaidia kukuza hekima yako.

Sasa huyo anaitwa ni Profesa ila upuuzi anaongea unajiuliza anatumia akili za wapi?
 
Back
Top Bottom