K katitu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 3,180 Reaction score 3,295 Apr 20, 2023 #2 comte said: Click to expand... simshangai sababu taalumu yake ni DS.(development sudies)so ni mtupu ktk nyanja ya uchumi.
comte said: Click to expand... simshangai sababu taalumu yake ni DS.(development sudies)so ni mtupu ktk nyanja ya uchumi.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Apr 20, 2023 #3 Kwa kawaida Serikali inatakiwa iajiri angalau watu 70,000 kwa mara 1 hii itsaidia s
M MzalendoHalisi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2007 Posts 4,679 Reaction score 1,612 Apr 20, 2023 #4 Kwa nini hakubaki UD kufundisha? Kwa hiyo ndo anatufundisha kupitia bungeni? Anatufundisha sisi wananchi leo tumekuwa wanafunxi wake? Arudi tu chuo akafumdishe sis 2025 wananchi hatumtaki!
Kwa nini hakubaki UD kufundisha? Kwa hiyo ndo anatufundisha kupitia bungeni? Anatufundisha sisi wananchi leo tumekuwa wanafunxi wake? Arudi tu chuo akafumdishe sis 2025 wananchi hatumtaki!
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Apr 20, 2023 #5 Ama kweli kusoma sana sio kutoa ujinga. Unaweza kuzaliwa na uwezo wa kihekima ila ukaipoteza kwa kujaza madafatri yasiyokusaidia kukuza hekima yako. Sasa huyo anaitwa ni Profesa ila upuuzi anaongea unajiuliza anatumia akili za wapi?
Ama kweli kusoma sana sio kutoa ujinga. Unaweza kuzaliwa na uwezo wa kihekima ila ukaipoteza kwa kujaza madafatri yasiyokusaidia kukuza hekima yako. Sasa huyo anaitwa ni Profesa ila upuuzi anaongea unajiuliza anatumia akili za wapi?