Tetesi: Prof Kitila Mkumbo ndiye hitaji la Wana Iramba kwa sasa

kyokyombe

Member
Joined
Jun 23, 2019
Posts
6
Reaction score
6
Inasemekana Prof. Kitila Mkumbo wana Iramba wanamsubiri kwa hamu kubwa sana.

Mbunge anayemaliza muda wake anahaha kujinusuru.

Let us wait and see.
 
Wana Iramba Mashariki wamemuomba radhi sana sana Mh.Rais kwa kosa walilofanya 2010 na 2015 kuchagua Kibaraka wa Mabeberu na wameapa hawatorudia kosa hilo Abadan

Kwa usikivu wa Rais huyu bila ya Shaka atawasamehe kwa kuwa anajua mtoto akinyea kwny kiganja unasafisha mkono sio kuukata
 
Mabeberu hawa mlioufyta kwao na kuamua kubadili vifungu vya sheria kandamizi ya takwimu?
 
Hahah aiseeh,waliomba radhi kwa barua,waraka,simu,fax ama barua pepe?,tusaidie nakala nasie tuipitie.
 
Acha kujitoa ufahamu wewe! Wakulima wanalia, wafanyakazi wanalia na wafanyabiashara wanalia. Usikivu upi unaozungumzia hapa? Duh! Serikali sikivu ripoti ya CAG Assad imejaa madudu ya kutisha kikao cha Bunge zaidi ya miezi miwili kujadili upuuzi tu wameahirisha Bunge bila hata ya kuigusa ripoti hiyo na huku wakifanya kila hila kumuondoa CAG Assad ili amuweke kikaragosi chake. Usijitoe ufahamu kiasi hiki.

Serikal Sikivu sifa yake ni kusikliza
 
Inasemekana Prof. Kitila Mkumbo wana Iramba wanamsubiri kwa hamu kubwa sana.

Mbunge anayemaliza muda wake anahaha kujinusuru.

Let us wait and see.
Nilidhani ndio anapelekwa Ikungi au kule mngali na imani na Mtaturu?
 
Mabeberu hawa mlioufyta kwao na kuamua kubadili vifungu vya sheria kandamizi ya takwimu?

Hatujabadili vifungu kutokana na shinikizo la mabeberu kwani wao wanaishi hapa TZ kwamba sheria hizo zinawagusa wao??....sheria zimebadilishwa kwa maslahi mapana na watanzania wote ili hata nyinyi vibaraka wa mabeberu mnufaike nazo....pambavu sana nyinyi
 
Hujui kilichotokea wewe nenda kadake bk7 ukale kwa mama lishe.
 
Kitila kuwa waziri sasa ndani ya serikali ya CCM. Ama kweli siasa ni wakati uliopo. Ni ngumu kupredict wakati ujao katika siasa.
 
Karibu Iramba Mhe. Prof. Mumbo (PhD).
238474510a0008cc152e425a9fce309c.png

Karibu Prof Kitila tunywe tope la sekenke kwa pamoja
 
Jimbo la Iramba magharibi safari hii kazi ipo mchuano ni mkali sana
 
Inasemekana Prof. Kitila Mkumbo wana Iramba wanamsubiri kwa hamu kubwa sana.

Mbunge anayemaliza muda wake anahaha kujinusuru.

Let us wait and see.

Habari yako ni fupi na imekonda sana.wanampenda sana?.
 
Wana Iramba Mashariki wamemuomba radhi sana sana Mh.Rais kwa kosa walilofanya 2010 na 2015 kuchagua Kibaraka wa Mabeberu na wameapa hawatorudia kosa hilo Abadan

Kwa usikivu wa Rais huyu bila ya Shaka atawasamehe kwa kuwa anajua mtoto akinyea kwny kiganja unasafisha mkono sio kuukata

Labda alienyea mkono ni wasio julikana na mfukuza ubunge.dah
 
Back
Top Bottom