Prof Kitila: Serikali Imepokea Ushauri wa Kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar

Nani ameshauri wawache uongo. Hili lilitangazwa tokaa wakati wa Kiketwe, Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar kalirudia juzijuzi. Wana JF tumeshashauri hilo zamani sana.

Niliwahi kandika article hapa JF, kuwa lijengwe daraja halafu Zabzibari ndiyo iwe bandari pekee, Zanzibar nzima iwe free port zone, kama Singapore tu. Huku bara ziwe ni bandari hizi hizi ndogo ndogo n dry ports tu.

Zanzibar itapaa na sisi tutapaa. Limo andiko langu na ya wengine hapa JF siku nyingi sana.

Na JF ipewe credit, eti Mkumbo, huyo Mkumbo si member hapa anatusoma na alikua anachangia mada humu na tunapena makavu humu kama kawaida. Usikute anaoingia kwa id ya kijinni kama sisi wote.

Nimeona DP World wanashirikiana kujenga bandari katikati ya bahari kuu (Deepsea port)huko Congo kwa kuwa hawana kisiwa karibu, sisi tunayvo tena highly strategic tumezubaa. Cheki kitu hicho:

 
Enzi hizo wakati Zambia inatawaliwa na watawala wajinga, ubalozi wa marekani uliiambia serikali ya Zambia kwamba "we have ten million US dollars here" show us a viable project for which we can donate this money"
Hakuna waziri aliye come up with mradi wenye akili.
Zile pesa zikapelekwa kwingine kwenye watu wenye akili na uhitaji.
 
Litajengwa Kwa njia ya PPP yaani linajengwa na private sector so litakuwa la kulipia
Hakuna private sector yenye uwezo wa kulipia hilo daraja,,,siyo daraja la mtoni Bali baharini linalo zungumziwa hapo.....
Hapo acheni kujifariji, mnapigishwa porojo za uchaguzi tu....
 
Boti za Bakhresa vp nazo anapoteza tu mda wake naye hakuna Biashara? Why analeta Boti zinapakia watu zaidi ya 600? Tena anazo Boti zaidi ya 10, vp na mshindani wake naye ana Boti zaidi ya 10? Wanatoka wapi hawa makumi ya maelfu ya watu wanaosafiri Zanzibar Dar kila siku? Ukiangalia Market Value ya usafiri wa Boti Dar na Znz ni zaidi ya Bilioni 100 kwa mwaka, Nauli ya Bei rahisi kabisa ni 30,000 kwa boti ya watu 600 at minimum ni milioni 18 ila hizo boti zinapakia mpaka kwa kusimama Tabu, zidisha kwa route zote utalewa.

Mpaka watu wamefanya feasibility study na imeonekana ni Economic feasible ujue washajihakikishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…