Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Inasikitisha sana mkuuDuh farhia middle shimoo
Prof. Kitila Mkumbo, Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM, akihojiwa na ITV anukuliwa akisema;
"Tunashindana na vyama 17 Watanzania waelewe nchi hii ni ya vyama vingi sio vyama viwili.....huko Marekani ni nchi ya vyama viwili sio Tanzania."
View attachment 3468054
Watu kama huyu; hata aibu usoni hana kabisa kutumika kama kinyago cha watu ambao yeye ndiye angekuwa anawachezesha kama 'toys'; lakini badala yake yeye ndiye anakuwa mwanasesere?Prof. Kitila Mkumbo, Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM, akihojiwa na ITV anukuliwa akisema;
"Tunashindana na vyama 17 Watanzania waelewe nchi hii ni ya vyama vingi sio vyama viwili.....huko Marekani ni nchi ya vyama viwili sio Tanzania."
View attachment 3468054
Huyu baba yake angevaa mpira wa kiume kuiokoa duniaProf. Kitila Mkumbo, Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM, akihojiwa na ITV anukuliwa akisema;
"Tunashindana na vyama 17 Watanzania waelewe nchi hii ni ya vyama vingi sio vyama viwili.....huko Marekani ni nchi ya vyama viwili sio Tanzania."
View attachment 3468054