Prof. Kitila tembelea Rwanda ukatuletee teknolojia ya kutengeneza magari badala ya kuzindua matela

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni ushauri tu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo kwamba afanye ziara hapo Rwanda yeye na wasaidizi wake watajifunza mambo mengi ya uchumi halisi na siyo wa kwenye karatasi.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Rwanda, kama Rwanda, hawana technologia ya kutengeneza magari, achilia mbali piki piki. Walichofanya ni kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, ndipo wenye technologia na mitaji yao wakaenda kuwekeza pale.

Serikali yetu inapaswa kujifunza jinsi ya kuboresha mazingira ya uwekezaji ili kuvutia technologia za kisasa na mitaji.
 
Inauma unapoona ati twende Rwanda kujifunza ICT wakati akina Kitalima wa UCC - university of Dar es Salaam Computing Centre miaka 21 iliyopita ndiyo walioianzisha hiyo ICT huko Rwanda. Akina Prof Rwakabamba etc:

siye utasikia tunasifia akina Tundu Lissu, Shangazi, Kigogo2014, Maria Sarungi etc ambao walikuwa ni wakatishaji tamaa wa Kagame wa Tanzania ambaye ameondoka na sasa kila mtu anaona pengo lake ingawa ni siku 110 tu. Tunasifia watu kama JK anayechukua bombardier ili akazike Kaunda na Abiria wanashinda airport kuisubiri.

Mwache tu kitila mkumbo
 
Profesa Kitila Mkumbo, Prof Kabudi, mwigulu Nchemba, doto biteko,Prof Ndalichako Joyce, Dorothy Gwajima na Godwin mollel ni afadhali Joseph Musukuma
 
....wake watajifunza mambo mengi
Kuna tofauti kubwa kati ya kutengeneza na kuungania vifaa ili upate gari. Rwanda wanaunganisha! Sidhani kama Engine block inakuwa 'moulded' hapo Kigali!

Hata hivyo, hii haihitaji waziri kwenda Rwanda bali kwenda kwa watengenezaji wa magari moja kwa moja kuongea nao namna ya kuwekeza hapa nchini. Kumshauri kwenda Kigali ni upotevu wa muda adhimu na hela.

Kama kweli unataka Waziri aende Rwanda basi tuwekee hapa Checklist ya vitu atakavyokwenda kufanya huko Kigali.
 
Rwanda, kama Rwanda, hawana technologia ya kutengeneza magari, achilia mbali piki piki. Walichofanya ni kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, ndipo wenye technologia na mitaji yao wakaenda kuwekeza pale.

Serikali yetu inapaswa kujifunza jinsi ya kuboresha mazingira ya uwekezaji ili kuvutia technologia za kisasa na mitaji.
Nakubaliana na mawazo yako. Tatizo letu kubwa sana ni athari itokanayo na mabadiliko ya uongozi wa ngazi ya juu. Ni vigumu sana kuwekeza pesa zako katika nchi ambayo mtawala anaweza kuamuru chochote juu ya uwekezaji wako ulioufanya pengune kwa miaka kadhaa hivyo kuathiri biashara zako.

Mfumo wa uongozi haupo sawasawa katika nchi yetu.
 
Inauma unapoona ati twende Rwanda kujifunza ICT wakati akina Kitalima wa UCC - university of Dar es Salaam Computing Centre miaka 21 iliyopita ndiyo walioianzisha hiyo ICT huko Rwanda. Akina Prof Rwakabamba etc:

siye utasikia tunasifia akina Tundu Lissu, Shangazi, Kigogo2014, Maria Sarungi etc ambao walikuwa ni wakatishaji tamaa wa Kagame wa Tanzania ambaye ameondoka na sasa kila mtu anaona pengo lake ingawa ni siku 110 tu. Tunasifia watu kama JK anayechukua bombardier ili akazike Kaunda na Abiria wanashinda airport kuisubiri.

Mwache tu kitila mkumbo
Naunga mkono hoja

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kutengeneza na kuungania vifaa ili upate gari. Rwanda wanaunganisha! Sidhani kama Engine block inakuwa 'moulded' hapo Kigali!

Hata hivyo, hii haihitaji waziri kwenda Rwanda bali kwenda kwa watengenezaji wa magari moja kwa moja kuongea nao namna ya kuwekeza hapa nchini. Kumshauri kwenda Kigali ni upotevu wa muda adhimu na hela.

Kama kweli unataka aende Rwanda Waziri, tuwekee hapa Checklist ya vitu atakavyokwenda kufanya huko Kigali.
Basi wakajifunze " lugha" ya kuongea na wawekezaji huko Rwanda kama tulivyojifunza namna ya kununua ndege!
 
Ni ushauri tu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo kwamba afanye ziara hapo Rwanda yeye na wasaidizi wake watajifunza mambo mengi ya uchumi halisi na siyo wa kwenye karatasi.

Mungu ni mwema wakati wote!
Watu hamfuatilii kabisa Tanzania tuna assembly ya Matrekta pale kibaha na nyingine zipo chini Suma Jkt.Hivyo ni option tu
 
Basi wakajifunze " lugha" ya kuongea na wawekezaji huko Rwanda kama tulivyojifunza namna ya kununua ndege!
Lugha za kuongea na wawekezaji tunazijua. Ndiyo maana tumefanikiwa kujadiliana na Barrick na tukapata 16%. Kwa msingi huo hoja ya kumulazimisha Waziri kwenda Rwanda bado 'haishikilii maji'!
 
Back
Top Bottom