Prof. Lipumba aanza ziara ya siku saba ndani ya mkoa wa Tanga

Prof. Lipumba aanza ziara ya siku saba ndani ya mkoa wa Tanga

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Lipumba ameanza ziara ya siku saba katika mkoa wa Tanga kuanzia Leo.

Mwenyekiti atatembelea katika wilaya ya Pangani, Mkinga, Tanga Mjini, Muheza, Korogwe Mjini,Korogwe Vijijini, Bumbuli, Lushoto.
IMG_20200117_155637_102.jpg
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof. Lipumba ameanza ziara Leo Mkoani Tanga ya siku Saba. Mwenyekiti atatembelea katika wilaya ya Pangani, Mkinga, Tanga mjini, Muheza, Korogwe mjini,Korogwe Vijijini, Bumbuli,Lushoto.

IMG_20200117_155637_102.jpg
 
Yaani Tz anzisha hata chama cha Mabolizozo utapata wafuasi tu, haaa hapo Lipumba nae ana wafuasi eti, acha tu niwe tycoon / businessman, siasa part time haa
 
Na hatutoona mikutano yake ikizuiwa wala kukamatwa kwake,sana sana policeCCM watailinda!!
 
Tanga hakuna wanaCUF zaidi ya 1000 mkutano wake ukihudhuriwa na watu zaidi ya 1000 atuambie kawatoa wapi?
 
Anapenda sana kufanya ziara kwenye maeneo ambayo kuna watu wengi wa dini yetu pendwa
 
Back
Top Bottom