Prof. Lipumba aichambua bajeti ya 2020-2021 kitaalam | Malengo ya mpango wa pili wa miaka mitano yamefikiwa?

Prof. Lipumba aichambua bajeti ya 2020-2021 kitaalam | Malengo ya mpango wa pili wa miaka mitano yamefikiwa?

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
IMG_20200614_123339_849.jpg



TAARIFA KWA UMMA

UCHAMBUZI WA BAJETI YA 2020/2021: MALENGO YA MPANGO WA PILI WA MIAKA MITANO YAMEFIKIWA?
 

Attachments

Hakuna kuchambua kitaalamu Wala Nini, kama ni profesa huyu namweza hata mimi wa darasa la 7, akili azitoe wapi huyu
 
Huyu Mzee ndio huwa namsikiliza kwny Bajeti Miaka yote sio kina Zitto

Kwny Elimu ya Uchumi bado hajapatikana wa kuvaa viatu vya Prof Lipumba

Prof Lipumba, Prof Shivji, Prof Mbwete, Prof Haroub na Prof Seth Chachage bado Udsm haijapa sub yao
 
huyu prof hana ishu ndio maana yuko kwenye siasa za kununuliwa, bora uchambuzi wa polepole kuliko wa huyu mzushi sisiemu b
 
Back
Top Bottom