CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF. LIPUMBA"
TANGA-KOROGWE VIJIJINI
Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima kuwalea wazee wetu ambao wengi wao baada ya kulitumikia Taifa letu kwa muda mrefu wanaishi katika dimbwi la umasikini wa kutisha.
Hatua kwa hatua kila mzee atakuwa na haki ya kulipwa kila mwezi fao la uzee kwa ajili ya afya na hifadhi yake.