Prof. Lipumba amkumbusha Rais Magufuli kiporo cha Katiba Mpya alipomkaribisha kusalimia. Jaji Mutungi amjibu

Kumbe Mkulu kishawasili Dodoma!!?

Maana Siku hizi akienda Chato huwa a arudi kwa mapozi mapozi vile... Kila mahali anasimama.
 
Kumbe Mkulu kishawasili Dodoma!!?

Maana Siku hizi akienda Chato huwa a arudi kwa mapozi mapozi vile... Kila mahali anasimama.
Jana alikuwa Singida akielekea Dodoma, leo amefikia kwenye kilele cha siku ya Sheria
 
Tatizo wateule wa Rais wanafanya kazi kwa kujimwambafai ili mkulu aone kuwa wanapiga kazi kama anavyotaka
 
Tatizo Magufuli mwenyewe katengeneza uongozi wa kujipendekeza.

Halafu Jaji akijipendekeza unashangaa.
Nilivyomuona Jaji Mutungi alivyokuwa anakimbia kimbia nilijua tu anaenda kutoa pumba, ni mojawapo wa majaji wa hovyo kabisa.
 
Yaani anajipendekeza utafikiri Bab Levo anavyojipendekeza kwa Diamond, hovyo kabisa.
 

Chukua Hennessy mkuu nakuja kulipa!
 
Hizo habari za katiba mpya hebu watulie hadi achomoke, wasije kuchokonoa kipengele cha ukomo mambo yakapandiana
 
Siwezi kutofautisha kauli za jaji Mutungi na Chang*doa anayejipendekeza ili atongozwe.....
Nani alimpa ruhusa ya kujibu?
 
Kweli ukiwa profesa hata kama ukiamua kujitoa ufahamu sometimes lakini wewe wewe unabaki kuwa profesa tu.

Lipumba hapa kaongea point sana!
 
Wako wapi!!!?
 
Ni vyama gani vimepeleka kesi Mahakamani dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa? Au hata dhidi ya Tume ya Uchaguzi?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…