"Aula?"
Ushakuwa mradi tena?
Sasa wewe unaona vipi hapo?
Kwa wabongo ishakuwa dili hilo!
Mitazamo ya aina hii ndiyo iliyopelekea taifa letu kuwa hapa tulipo! Kila mmoja anapogombea uongozi wowote na katika level yoyote kabla ya kufikiria majukumu muhimu katika post /cheo kile, anafikiria zaidi maslahi yake binafsi!
Mnatabu kweli mtu akipata kadili kama haka kakuengeza dolari na uzoefu inakuwa kelele, najuwa athari za kunyanyaswa na wezi na mafisadi zinakupelekeeni muwone vifursa fulani fulani kama hivi,mnavionea wivu tu...au kwakuwa hawakuchaguliwa mnaowataka nyinyi?
Ha ha ha ha ha !!!Lipumba anaenda kufanya kazi priceless katika kuongeza democracy Afrika, wewe na mwazo yako finyu yasiyoona zaidi ya pua yako all you can see ni ku prostitute hii kazi kwa upeo mdogo wa kutumia lenzi ya fedha.
Ikiwa vyote unavyofikiri vinaanza na kuishia katika fedha utasemaje kwamba huwezi kuuza demokrasia kifisadi kwa vipande arobaini vya fedha?
Ha ha ha ha ha !!!Lipumba anaenda kufanya kazi priceless katika kuongeza democracy Afrika, wewe na mwazo yako finyu yasiyoona zaidi ya pua yako all you can see ni ku prostitute hii kazi kwa upeo mdogo wa kutumia lenzi ya fedha.
Ikiwa vyote unavyofikiri vinaanza na kuishia katika fedha utasemaje kwamba huwezi kuuza demokrasia kifisadi kwa vipande arobaini vya fedha?
Ha ha ha ha ha !!!
Kwani aliyesema ishakuwa dili ni nani si wewe?
Mimi niliposema aula nilimaanisha fursa na heshima ya kutambulika na dunia na ukisoma stori vizuri Prof.Lipumba anasema mwenyewe...na ametumia neno "prominent person" kama kuwa heshima yake imetambulika na dunia inajuwa yeye ni nani. Hizo habari za dili na fedha zimetoka kwako kwa hivyo, nani anaakili na mawazo finyu?
Ni Mistake I admit, Mods, nawataka radhi kwanza halafu naomba mturekebishie....sasa hii nayo inahusiana vipi kwenye jukwaa la michezo hapa?
Nyie washabiki wa Manure mkifungwa sijui mkoje!
Mkuu, kwa kesi ya Prof.Lipumba namtetea hapa...hajakimbilia hiyo nafasi...ni wazungu wenyewe...wameangalia vichwa milioni 30 vya Watanzania, wakaona kichwa kimoja tu ndo kinafaa kwa kazi zao,miongoni mwa vichwa vyote vya Watanzania,ukichanganya na Mprof. wote waliomo nchini...kimeonekana kichwa cha Prof.Lipumba ndo kinafaa zaidi ya vyote..nasisitiza kwa heshima hiyo, kutoka kwa jumuiya inayokusanya nchi kibao...ni wazi kuwa Prof. Lipumba ni maarufu sana kuliko Watanzania wengi tu wanaoonekana maarufu...kwa hiyo kaula, kama kwenu kuula lazima iwe pesa...basi mnafikiri kifisadi fisadi...I don't put blame on you...its the system which raise you.Ndiyo maana mkaambiwa msikimbilie positions, ni mizigo, migogoro.
"Aula?"
Ushakuwa mradi tena?
Mkuu, kwa kesi ya Prof.Lipumba namtetea hapa...hajakimbilia hiyo nafasi...ni wazungu wenyewe...wameangalia vichwa milioni 30 vya Watanzania, wakaona kichwa kimoja tu ndo kinafaa kwa kazi zao,miongoni mwa vichwa vyote vya Watanzania,ukichanganya na Mprof. wote waliomo nchini...kimeonekana kichwa cha Prof.Lipumba ndo kinafaa zaidi ya vyote..nasisitiza kwa heshima hiyo, kutoka kwa jumuiya inayokusanya nchi kibao...ni wazi kuwa Prof. Lipumba ni maarufu sana kuliko Watanzania wengi tu wanaoonekana maarufu...kwa hiyo kaula, kama kwenu kuula lazima iwe pesa...basi mnafikiri kifisadi fisadi...I don't put blame on you...its the system which raise you.
waadilifu wanajuulikana bwana we!
hongera lipumba!nafasi ya kujifunza na kutengeneza pesa profesa.safi sana...