Tumesikia jinsi dr slaa alivyozimiwa umeme kule mbeya na rukwa,sasa leo ni zamu ya lipumba hapo geita,alipoingia tu asubui kufikia saa 5 umeme ukakatwa na wakazi wa geita leo watalala giza maana nackia lipumba atalala hapo.halafu hata dr slaa alipoingia geita jioni tar 12/09 umeme ulikatwa hadi alipoödoka.hv tanesco wanapata faida gani kwa hv vituko?