CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
MKINICHAGUA OKTOBA 28, KUWA RAIS WA NCHI HII NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA"
DODOMA- CHEMBA
Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote
Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania
Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania
Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania
Haki ya kuwa na ajira Bora, yenye ujira bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania
Haki ya kuwa tajiri kwa mapato halali kwa kila Mtanzania