Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba, Dodoma - Chemba: Mkinichagua Oktoba 28, kuwa Rais wa Nchi hii nitawekeza kwa watu, kisha watu wawekeze kwenye vitu

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234

MKINICHAGUA OKTOBA 28, KUWA RAIS WA NCHI HII NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA"

DODOMA- CHEMBA

Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote

Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania

Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania

Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania

Haki ya kuwa na ajira Bora, yenye ujira bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania

Haki ya kuwa tajiri kwa mapato halali kwa kila Mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…