Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Elimu ya sasa inaendana na kutumia kompyuta, tunahitaji kuwekeza katika Elimu iliyo Bora

Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Elimu ya sasa inaendana na kutumia kompyuta, tunahitaji kuwekeza katika Elimu iliyo Bora

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Screenshot_20200908-224805.png

Elimu ya sasa inaendana na kutumia Compyuta,tunahitaji tuwekeze katika elimu iliyo bora, kila shule ya msingi, shule ya sekondari iunganishwe na internet na watoto wetu waanze kutumia kopyuta wakienda shule.

Prof. Lipumba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

MCHAGUE PROF. LIPUMBA

RAIS MAKINI,

SERIKALI MAKINI.
 
Huyu ndo aliekimbia movement la ukawa, nakwenda kula bata Rwanda, laana itamuandama milele.
 
Back
Top Bottom