Elimu ya sasa inaendana na kutumia Compyuta,tunahitaji tuwekeze katika elimu iliyo bora, kila shule ya msingi, shule ya sekondari iunganishwe na internet na watoto wetu waanze kutumia kopyuta wakienda shule.
Prof. Lipumba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.