Prof. Lipumba: Haingii akilini gaidi na mhaini akapelekewa salamu za rambirambi tarehe 8 Julai 2021 na Rais ambaye ana taarifa zote za usalama wa nchi

Mnyonge anyongewe mbali ila haki yake apewe pamoja na unafiki wa Profesa hapa kasema kweli
 
hiyo ndio Tanzania.
wakati Pinda ni waziri mkuu aliulizwa kuhusu mashkhe wa uamsho na akjibu hana habari.
Sasa nimshangao ikiwa watu wanashtakiwa kwa ugaidi na waziri mkuu hana habari.
 
Reactions: BAK
Inawezekana polisi walidhani kwamba kwakua dunia inapinga ugaidi basi tuhalalishe kum-bunia mbowe

Kumbe wanajibunia kashifa zito sasa maofisini mwao jasho nijingi linatoka
 
Lipumba bora ungenyamaza, unajiabisha kwa hii kauli yako.
 
This profesa pumba na de. Muhogo wote wapuuzi tu
 
Mama akitaka kafanikiwa atoe igp na Bo's wa tiss atafute was kwake aanze nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…