johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna wakati Prof Lipumba alipigwa Kwenye harakati za kisiasa anafungwa pop mikononi, kila alipokwenda alikuwa anautanguliza ule mkono Watu wauone na hakuna aliyemlaumu.
Kifungo cha mzee Mandela gerezani lilikuwa mtaji na sifa kuu ya yeye Kuchaguliwa kuwa Rais wa SA.
Ni ama Prof Lipumba hajui Siasa au ni wivu tu unamsumbua.
Hata mh naniliu alipoanguka ghafla pale jangwani 2005 ile changamoto ikawa ni mtaji kwake.
Huyu Prof Lipumba ajadili mambo ya waganga wa Kienyeji Siasa haziwezi.
Mlale Unono!