CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Puppet youView attachment 1611143
PROF. LIPUMBA KUFUNGA KAMPENI OKTOBA 27 DAR, VIWANJA VYA MWEMBE YANGA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anatarajia kufunga rasmi kampeni jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwembe Yanga vilivyopo wilaya ya Temeke.
Hivyo bado anapigania roho yake kwenye kinyang'anyiro cha urais? Anapoteza muda. Hata akiachwa peke yake hawezi kushinda. Watu watapigia kivuli badala ya Propumba.View attachment 1611143
PROF. LIPUMBA KUFUNGA KAMPENI OKTOBA 27 DAR, VIWANJA VYA MWEMBE YANGA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anatarajia kufunga rasmi kampeni jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwembe Yanga vilivyopo wilaya ya Temeke.
Upinzani ulikua dhaifu mwaka 2000 na 2005 kuliko wakati wowote ule!! Maana CCM ilishinda kwa landslide. Ila chaguzi zingine zote upinzani umekua imera zaidi na unaweza ona kila chaguzi iliyopita kura za upinzani ziliongezeka.Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Lipumba mshipa wa aibu ulishakatika...Hivyo bado anapigania roho yake kwenye kinyang'anyiro cha urais? Anapoteza muda. Hata akiachwa peke yake hawezi kushinda. Watu watapigia kivuli badala ya Propumba.
1. Diamond, Magufuli, Ally Kiba, nkHata Lipumba kumbe bado ana nyomi la kufa mtu!
1.John Magufuli
2.Tundu Lissu
3.Prof Ibrahim Lipumba
4.Benard Membe
5.Hashim Rungwe Spunda