Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,750
Kwa wale wengi waliokuwa wakitarajia kuwa Lipumba amepoteza wakati wake na kwa wale ambao walikuwa wakiamini kura za maoni zilizokuwa zikirushwa kwenye vyombo vya habari ndizo zinazoashiria Raisi mtarajiwa ,watu hao wote mtakuwa mmepotezwa na mtasaga meno mtakaposikia matokeo kuwa Mshindi wa Uchaguzi wa Uraisi ni Lipumba.
Mpaka hapa tulipo utafiti wa ndani kabisa ambao umekuwa ukiendeshwa kikampeni kwa kufuatilia target alizozilenga mgombea Uraisi wa CUF kwa upande wa Muungano zinaonyesha kuwa Lipumba amekubalika katika sehemu nyingi sana ,utafiti huo ambao uliwalenga registered voters walio katika ,mkusanyiko wa makundi ya mitaa ,mikusanyiko katika sehemu za ibada ,pia uliwalenga wakuu wa sehemu za vijiji (watu wanaokuwa na ushawishi mkubwa au wenye kukubalika mawazo yao na watu wa vijiji) umeonyesha kuwa Lipumba ndie mtu alieafikiwa ukilinganisha na viongozi au wagombea wengine.
Uchunguzi mwengine ambao huu uliendeshwa katika miji mikuu ulikuwa ni ule wa door to door au nyumba kwa nyumba ,huu uliwahusisha viongozi au valantia wa husika ambao wamo mitaani kuweza kupita na pia kuwatumia marafiki zao ,kupita nyumba kwa nyumba kutafuta maoni ,wengi sana walijibiwa kuwa Lipumba peke yake ndie mwenye uwezo na muelewa wa wapi tulipo WaTz na wapi tunapotaka kuelekea ,hivyo matarajio yao ni kumpa kura zao Lipumba , ikiwa uchaguzi utakuwepo na utakuwa wa amani.
Wote wa waliotakiwa kutoa maoni yao ni wale tu wenye shahada za kupigia kura ,na kampeni hiyo imefanyika na inaendelea kufanyika kwa nchi nzima ,na matokeo yake yanaridhisha sana sana kuwa Lipumba amekubalika vizuri kwa wapiga kura.
Baadhi ya waliochunguzwa maoni yao wamekiri kuwa wanahudhuria mikutano ya wagombea wote bila ya kuchagua kuwa huyu ni wa chama gani na wengine wamesema hawajawahi kuhudhuria mikutano ya Lipumba lakini wameona na kusoma kwenye sehemu mbalimbali ni jinsi gani Lipumba ana elimu ya kuweza kuwakomboa ,wahojiwa hao waliongezea kuwa kuhudhuria kwao kwenye mikutano ya vyama vingine kwa wingi kusichukuliwe kuwa wao watampigia kura mgombea huyo kwani wameshaamua ni wapi wanazipeleka kura zao.
Mtanzania uliebaki fahamu kuwa wengi wa WaTanzania wanafanya maamuzi makubwa kuhusu hatima ya nchi yao kwa kumchagua Lipumba ,na wewe shiriki na washawishi wengine kumchagua Lipumba ili muwemo katika historia hii ya kuiondoa CCM madarakani.
It will cost you nothing or harm you to vote for Lipumba ,timiza wajibu wako.