Iza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2009 Posts 2,045 Reaction score 643 Oct 21, 2010 #21 Ndivyo mna-plan ili kura za wapinzani zigawanyike nyie muibuke hapo... Aisee mabadiliko muhimu Prof.akitaka atasaidia mawazo kama raia mwingine wa kawaida... Kura kwa Slaa pekee...
Ndivyo mna-plan ili kura za wapinzani zigawanyike nyie muibuke hapo... Aisee mabadiliko muhimu Prof.akitaka atasaidia mawazo kama raia mwingine wa kawaida... Kura kwa Slaa pekee...
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,400 Reaction score 320 Oct 21, 2010 #22 Lipumba + Kikwete = ubabaishaji Tanzania